SEBULENI

Friday, October 12, 2012

BABA WA TAIFA BADO HUJAPATA MBADALA

MWL NYERERE TUNAKUKUMBUKA SANA BABA YETU HASWA SISI WANYONGE NA TUSIO NA SUTI (VOICE LESS PEOPLE), MAFISADI WANAITAFUTA NCHINII HII ULIOITUNZA KWA AJILI YA WAFANYAKAZI NA WAKULIMA LAKINI JAMAA WANAILA MPAKA MIFUPA KWAKWELI, LALA SALAMA MZEE WETU

No comments:

Post a Comment