SEBULENI

Friday, October 12, 2012

HUO NDIO USAFIRI WA MAKONGO JUU KWETU




MAKONGO JUU KUNA MATAJIRI WENGI, HATA WAZIRI WA ARDHI NA MAENDELEO YA MAKAZI MH. TIBAIJUKA NAE ANA NYUNBA YAKE HUKU PAMOJA NA WASTAAFU WENGI WA JESHI LA JWTZ NA VIGOGO WENGI TU WA KUTOSHA LAKINI NDUGU YANGU KUNA 'KERO' NA SHIDA SANA YA 'USAFIRI' NA 'MAJI' NDIO HAKUNA KABISAAAAAAAA JAMANI HIYO BARABARA NDIO MAANDAKI MATUPU( PICHA JUU NI C.C.M KITUONI HAOP MAKONGO JUU MIDA YA SAA3 ASUBUHI KIDOGO AFADHALI LAKINI ALFAJIRI AU ASUBUHI SANA NI LAZIMA UGEUZE NA GARI TENA NAULI NI MIA TANO(500/=) NA JIONI PIA IKIFIKA SAA11TU JIONI NAYO NI 500/= ALAFU PIA HAKUNA HATA GARI ZILIZOSAJILIWA RASMI KATIKA NJIA HII KWANI KILA MWENYE GARI HATAKI KULETA GARI YAKE HUKO ISIJE IKAFA MIEZI KADHAA TU BILA HATA KURUDISHA HELA YAKE BUREEEEEEEEEEEEE, SERIKALI IPOOOOOOOOOO

No comments:

Post a Comment