SEBULENI

Monday, October 15, 2012

''NENDENI MKAOMBEWANANGU''

WAMAMA HAWA AMBAO WAPO MAENEO YA MZUNGUKO(ROUND ABOUT) YA MAENEO YA KARIBU NA OFISI ZA ZIMAMOTO(FIRE) NABARABARA YA  KWENDA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI NIKAMA 'WAKIWAAGIZA' WATOTO WAO WAKAOMBE ILI HALI WAO WAKIWA WANASUBIRIA 'HESABU' TU KWA PEMBENI.

WATOTO HAWA WANATAKIWA KUWA MASHULENI SAIVI ILI WAPATE ELIMU KWA MAENDELEO YAO BINAFSI NA YA FAMILIA ZAO NA TAIFA KWA UJUMLA,, MH. MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. MECK SADIK UPO BABA????

No comments:

Post a Comment