SEBULENI

Friday, October 12, 2012

UGALI WA WATOTO UNAPATIKANA HAPA

''KWA SIKU SIKOSI 20 MPAKA 50 JAMANI, ELFU MAKA LAKI WAKATI MWINGINE MAMBO YAKIENDA VIZURI'', HERI MWENYE NACHO KULIKO ASIYE NA KITU (SOME THING IS BETTER THAN NOTHING)'' NDIVYO ANAVYOSEMA MMILIKI WA TREKTA HII NDOGO YA TANGU ENZI ZA MKOLONI MPAKA LEO DUNIA YA SAYANSI NA TEKELINALOKUJIA, WAKATI DUNIA INAKIMBIZANA NA TEKNOLOJIA SISI BADO TUNA KOMAA NA TEKNOLOJIA YA MWAKA '47', TUTA WEZA KWELI KUSINDANA KWA HALI HII? TENA HAPA NI DARE ES SALAAM MJINI KABISAAAAAAA JAMANI, VIPI HUKO MIKOANI NA VIJIJNI? TAFAKARI MTANZANIA MWENZANGU! TANZANIA ITAJENGWA NA WAKULIMA NA WAFANYA KAZI NA SIO WANASIASA NDUGU,

No comments:

Post a Comment